Song of Solomon 5:14


14 aMikono yake ni fimbo za dhahabu
iliyopambwa kwa krisolitho.
Mwili wake ni kama pembe ya ndovu iliyong’arishwa
iliyopambwa na yakuti samawi.
Copyright information for SwhKC